WhatsApp ChannelVerified

Jiunge na channel yetu ya WhatsApp kupata simulizi zaidi na maudhui

Mchakato

Jinsi Ya Kuanza

Hatua 5 rahisi za kuanza kusoma hadithi zako unazozipenda

01

Jisajili na Google

Ingia kwenye Tuka Bongo kwa kutumia akaunti yako ya Google. Hakuna password ya kukumbuka — rahisi na salama.

02

Chagua Hadithi

Vinjari mkusanyiko wetu wa hadithi za Kiswahili. Kuna za bure na zilizo na gharama ya sarafu. Angalia maudhui kabla ya kununua.

03

Nunua Sarafu

Nunua sarafu zako kupitia njia zetu za malipo zilizo salama na za kuaminika. Sarafu zinabaki kwenye akaunti yako hadi utakapozitumia.

04

Fungua Hadithi

Tumia sarafu zako kufungua hadithi unayopenda. Kila hadithi ina gharama yake ya sarafu. Ukiifungua, unapata ufikiaji kwa miezi miwili.

05

Like, Save & Share

Soma hadithi zako ulizofungua, zilike, zihifadhi kwenye maktaba yako, au zishare na marafiki. Furahia masimulizi bila kikomo.

Anza Safari Yako Sasa

Jiunge na maelfu ya wasomaji wa Tuka Bongo

Jiunge na Tuka Bongo

Jukwaa la masimulizi kwa kiswahili. Soma simulizi za kusisimua, nunua coins, na ufurahie hadi miezi miwili.

Simulizi Uzipendazo, Kiganjani Mwako!

Peruzi mkusanyiko wa simulizi kabambe kwa lugha ya Kiswahili, zenye burudani na mafunzo. Zote ziko kwenye kifaa chako, tayari kusomwa popote na wakati wowote.

Simulizi Zote
Recent

Ulizo Tazama

Hadithi ulizotazama hivi karibuni

Msaada

Majibu Sahihi

Bado una maswali?

Wasiliana na Msaada